Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Nyumba kubwa ya vyumba vinne,public toilet,sitting room na jiko
pia ina nyumba ndogo kwa nyuma ya vyumba viwili kimoja ni master na store inauzwa iko tabata kimanga bei ni milioni 80
ina hati.
mawasiliano zaidi
0714358610.
 
Attachments

  • 2014-08-31 12.34.39.jpg
    2014-08-31 12.34.39.jpg
    387.8 KB · Views: 395
  • 2014-08-31 12.34.25.jpg
    2014-08-31 12.34.25.jpg
    410.6 KB · Views: 363
  • 2014-08-31 12.33.47.jpg
    2014-08-31 12.33.47.jpg
    292.7 KB · Views: 332
  • 2014-08-31 12.32.47.jpg
    2014-08-31 12.32.47.jpg
    522.1 KB · Views: 344
  • 2014-08-31 12.32.32.jpg
    2014-08-31 12.32.32.jpg
    335.6 KB · Views: 286
  • 2014-08-31 12.32.31.jpg
    2014-08-31 12.32.31.jpg
    335.9 KB · Views: 276
  • 2014-08-31 12.31.58.jpg
    2014-08-31 12.31.58.jpg
    300.9 KB · Views: 273
  • 2014-08-31 12.31.34.jpg
    2014-08-31 12.31.34.jpg
    248.1 KB · Views: 278
  • 2014-08-31 12.30.22.jpg
    2014-08-31 12.30.22.jpg
    173.9 KB · Views: 280
  • 2014-08-31 12.30.50.jpg
    2014-08-31 12.30.50.jpg
    106.6 KB · Views: 273
  • 2014-08-31 12.31.03.jpg
    2014-08-31 12.31.03.jpg
    153.5 KB · Views: 309
  • 2014-08-31 12.31.12.jpg
    2014-08-31 12.31.12.jpg
    155.7 KB · Views: 309
Umaskini tu mkuu bei poa sana kwa maeneo ya Tabata.

Dip hembu niulizie kiwanja Maeneo ya Karibu ya Shule ya Harvad inaweza kuwa bei gani kwa Pale Tabata
 
Umaskini tu mkuu bei poa sana kwa maeneo ya Tabata.

Dip hembu niulizie kiwanja Maeneo ya Karibu ya Shule ya Harvad inaweza kuwa bei gani kwa Pale Tabata

Mkuu naisoma hapo juu mstari wa kwanza..roho inaniuma kinoma..yaani cc wengine tutaendelea kuwaona wenzetu tu wanamiliki vitu vizuri..lol..!!
 
Umaskini tu mkuu bei poa sana kwa maeneo ya Tabata.

Dip hembu niulizie kiwanja Maeneo ya Karibu ya Shule ya Harvad inaweza kuwa bei gani kwa Pale Tabata

ndugu yangu zanzibar spices inategemea unataka cha aina gani...
kama ni cha offer au chenye hati,cha offer unaweza pata kuanzia milioni 20 na kuendelea inategemea na ukubwa wake na chenye hati unaweza pata kuanzia milioni 30 na kuendelea pia inategemea na ukubwa wa kiwanja hicho na maeneo kilipo
 
Nyumba kubwa ya vyumba vinne,public toilet,sitting room na jiko
pia ina nyumba ndogo kwa nyuma ya vyumba viwili kimoja ni master na store inauzwa iko tabata kimanga bei ni milioni 80
ina hati.
mawasiliano zaidi 0714358610.
paperclip.png
Attached Thumbnails
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom