Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Natal Vice

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
16
Reaction score
8
Nyumba Inauzwa ipo Pugu Kichangani mita 800 toka bara bara kuu ya Nyerere .Ukifika Kajiungeni njia panda ya Kisarawe na Chanika toka hapo ni mita 800 upande wa kulia.BEI NI 65 Milioni maelewano yapo. Ukihitaji kwenda kuiona tuwasiliane anytime. Kwa mawasiliano zaidi 0687702626 (Kwa picha zaidi kupitia WhatsApp), 0655356580. Shukrani.

View attachment 171529View attachment 171530View attachment 171527View attachment 171527View attachment 171528 IMG-20140717-WA0003.jpg
 
Samahani kwa kuuliza, ukubwa wa plot yote ni kiasi gani?
Na ukubwa wa nyumba ni kiasi gani?

Kwa maana ingine:
Total Plot size (In Square meter)
Built Up Area (In Square meter)
 
Samahani kwa kuuliza, ukubwa wa plot yote ni kiasi gani?
Na ukubwa wa nyumba ni kiasi gani?


Kwa maana ingine:
Total Plot size (In Square meter)
Built Up Area (In Square meter)

sqrm 1575 eneo lililobaki unaweza kujenga nyumba nyingine na eneo la parking kubwa tu ikabaki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom