Nyumba inauzwa iko kibaha miembe saba imekamilika kila kitu isipokua umeme na maji,ina vyumba 3 vya kulala sebule sehemu ya kulia chakula stool na jiko ina uwanja mkubwa tu bei milioni 50 umbali kutoka barabara kuu ya lami km 2,kwa mawasiliano 0767402820.