weka picha tuione.
400m with such s simple thread...lol
Watanzania kweli matajiri mimi na umri wangu huu nilionao sijawahi kuziona milioni 400 kwa macho yangu ila kwenye picha
nikiwa nazo sijuwi hata nitafanya nini
400mil ni pesa ya kawaida tu. Changamka na maisha utaizoea
weka picha. Tabata nyumba tshs.400,000,000?