Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha - vitano kushoto vitano kulia)
: Ipo karibu kabisa na kituo cha Msongola
: Ina eneo kubwa la wazi mbele na nyuma
BEI : Milioni AROBAINI NA TANO (45,000,000)
MAWASILIANO: 0654 743 825
View attachment 124261View attachment 124262
Mbona picha hazijatosha? Imekaa kama shule vile,weka picha vizuri ionekane yote kwa kila upande wanunuaji wapo tu,
Duh,nyumba au treni.
Bei kubwa sana na mjengo wa zamani kweli kweli.
Labda mtu afungue Guest House au Hospital.
Mie 25m nikupe leo leo
Mbona picha hazijatosha? Imekaa kama shule vile,weka picha vizuri ionekane yote kwa kila upande wanunuaji wapo tu,