Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

aspen

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
501
Reaction score
166
Wakuu nyumba inauzwa ipo arusha maeneo ya moshono ipo kwenye kiwanja cha 32 kwa 25 ipo kwenye hatua ya lenta na kozi mbili za juu ntajaribu kuattach na picha kwa mawasiliano ni pm nikupatie namba tuwasiliane
Bei mill 22 mazungumzo yapo
 
Attachments

  • DSC00043.JPG
    DSC00043.JPG
    461.7 KB · Views: 81
Wakuu nyumba inauzwa ipo arusha maeneo ya moshono ipo kwenye kiwanja cha 32 kwa 25 ipo kwenye hatua ya lenta na kozi mbili za juu ntajaribu kuattach na picha kwa mawasiliano ni pm nikupatie namba tuwasiliane
Bei mill 22 mazungumzo yapo

Ipo moshono eneo gani?toa maelezo zaidi ili mnunuzi apate picha kamili.umbali kutoka barabara kuu,vipi inafikika kwa barabara,umeme na maji vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom