labda anauza hiy namba ya simu lol
Weka picha na bei mkuu
Tuheshimiane au vp we kama hujaelewa ni bora upite tu sawa.
Nyumba mbili kubwa za vyumba saba zilizo kwenye kiwanja kimoja zinauzwa pia kuna feremu nne zipo mbagala kuu,kwa maelezo zaidi piga 0718097972
Tuheshimiane au vp we kama hujaelewa ni bora upite tu sawa.
sijaelewa..nyumba ina "feremu nne"
feremu ni nini?
Masikini wanakosoa post ,matajiri wanapanda hewan endeleen na majungu yenu
hahhaah...wewe inaonesha una njaa kali halafu umeanz akujifunza udalali baada ya kuona utapeli umekushinda mbweha mweusi wewe..
Ahsante mkuu,ckuwez kwa matuc