Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

JAMAA1HIVI

Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
17
Reaction score
2
Nyumba iko kinyerezi(ulongoni) ina viumba 4 kimoja master ina dinning,sitting room,tiles,gypum na msingi wa ukuta(fece) na msingi wa nyumba ni mrefu 0714 119988 jemedary {wahi mapema}
 
Bei gani mzee? Kina hati? Eneo lina ukubwa gani?
 
ungeweka na bei ili watu wajue kuliko wakupigie simu halafu utoe bei za ajabu na chengine picha zake ndio muhimu zaidi kuna wanunuzi wako nje ya nchi au mikoani wataionaje kamilisha data hizo muhimu fasta kama upo serious..
 
kwenye matangazo utaimba wee kuhusu bei,ila watu bado hawajifunzi.kutoweka bei ni kutojiamini.na mfanya biashara unatakiwa ujiamini.hata kama bei ni ya juu wewe weka tu.biashara inatakiwa iwe na mvuto wa kumfanya mtu awe na interest na kile kitu.weka vitu vinavyotakiwa bwana kama bei,maelezo zaidi ya nyumba na picha
 
Afadhali umejitahidi kumfafanulia...

kwenye matangazo utaimba wee kuhusu bei,ila watu bado hawajifunzi.kutoweka bei ni kutojiamini.na mfanya biashara unatakiwa ujiamini.hata kama bei ni ya juu wewe weka tu.biashara inatakiwa iwe na mvuto wa kumfanya mtu awe na interest na kile kitu.weka vitu vinavyotakiwa bwana kama bei,maelezo zaidi ya nyumba na picha
 
Bei ni 85milioni,ina maelewano, mtu anafaa aone kwa macho kwani siwezi kuweka picha za kila kitu kweni mtu anaweza kupenda hata mazingira. Angalizo:unaongea na wenye nyumba haina dalali(0714119988)kaka yake ( 0778388189)mdogo wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom