Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 443 Reaction score 18 Sep 25, 2009 #1 Wadau, kuna nyumba inauzwa mbagala kuu n iko kwenye hali nzuri. Bei maelewano.
Nyundo_tz JF-Expert Member Joined Jul 14, 2009 Posts 640 Reaction score 21 Sep 25, 2009 #2 Mhh, huko c kule kwenye mabomU?
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Sep 25, 2009 #3 Dr. Chapa Kiuno said: Wadau, kuna nyumba inauzwa mbagala kuu n iko kwenye hali nzuri. Bei maelewano. Click to expand... mbagala kuu!, huo utani babu
Dr. Chapa Kiuno said: Wadau, kuna nyumba inauzwa mbagala kuu n iko kwenye hali nzuri. Bei maelewano. Click to expand... mbagala kuu!, huo utani babu
Nyundo_tz JF-Expert Member Joined Jul 14, 2009 Posts 640 Reaction score 21 Sep 25, 2009 #4 Aisee, tena utani wa haja kama c kweli... Maana huko ni pakupakimbia kwa sasa.
M Manitoba JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 240 Reaction score 17 Sep 25, 2009 #5 Huko ndio pa kununua nyumba saa hizi, maana bei zitakuwa chini ... lol
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Sep 25, 2009 #6 Dr. Chapa Kiuno said: Wadau, kuna nyumba inauzwa mbagala kuu n iko kwenye hali nzuri. Bei maelewano. Click to expand... Ina nini na nini ndani? Nasikia Mbagala unauziwa nyumba ikiwa na housegirl ndani.
Dr. Chapa Kiuno said: Wadau, kuna nyumba inauzwa mbagala kuu n iko kwenye hali nzuri. Bei maelewano. Click to expand... Ina nini na nini ndani? Nasikia Mbagala unauziwa nyumba ikiwa na housegirl ndani.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Sep 25, 2009 #7 Tunaomba picha yake mkuu.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,271 Sep 25, 2009 #8 masihara hayo jamani.........watz tuna matusi sana,badala ya kusikitika watu wanakufa we unashangilia na kutangaza nyumba inauzwa!........
masihara hayo jamani.........watz tuna matusi sana,badala ya kusikitika watu wanakufa we unashangilia na kutangaza nyumba inauzwa!........
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Sep 25, 2009 #9 Fidel80 said: Tunaomba picha yake mkuu. Click to expand... Nani ataipiga picha wakati mabomu yamezagaa kila pahala? Stuka!
Fidel80 said: Tunaomba picha yake mkuu. Click to expand... Nani ataipiga picha wakati mabomu yamezagaa kila pahala? Stuka!
Nyundo_tz JF-Expert Member Joined Jul 14, 2009 Posts 640 Reaction score 21 Sep 25, 2009 #10 Jile79 said: masihara hayo jamani.........watz tuna matusi sana,badala ya kusikitika watu wanakufa we unashangilia na kutangaza nyumba inauzwa!........ Click to expand... Aah! ss una maana hana haki ya kuuza nyumba yake hata kama hali ya kule ni tete kwa sasa? Au unamaana aitoe bure?
Jile79 said: masihara hayo jamani.........watz tuna matusi sana,badala ya kusikitika watu wanakufa we unashangilia na kutangaza nyumba inauzwa!........ Click to expand... Aah! ss una maana hana haki ya kuuza nyumba yake hata kama hali ya kule ni tete kwa sasa? Au unamaana aitoe bure?
Z Zamazamani JF-Expert Member Joined Jun 13, 2008 Posts 1,903 Reaction score 828 Sep 25, 2009 #11 hata bure sitaki
Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 443 Reaction score 18 Sep 25, 2009 Thread starter #12 Zamazamani said: hata bure sitaki Click to expand... kwa nn jamani?
Guma Mlugaluga Member Joined Aug 20, 2008 Posts 98 Reaction score 7 Sep 25, 2009 #13 Twendeni tukawekeze huko, hali ikitengamaa watatutamani. Mbona Italy iliamua kujichukulia jangwa, hivi sasa kama wangekuwepo wangekuwa wanafaidi mafuta, teheteheteheteheteh
Twendeni tukawekeze huko, hali ikitengamaa watatutamani. Mbona Italy iliamua kujichukulia jangwa, hivi sasa kama wangekuwepo wangekuwa wanafaidi mafuta, teheteheteheteheteh
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Sep 25, 2009 #14 huko somalia babu, tena no smoking, unaweza ukawa unakojoa kichakan usik, unadetoneti bomu! ukichoma takataka tu kitu!
huko somalia babu, tena no smoking, unaweza ukawa unakojoa kichakan usik, unadetoneti bomu! ukichoma takataka tu kitu!
Original Pastor JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 1,274 Reaction score 52 Sep 27, 2009 #15 Du!!!!!!!! Utani bro!!! Juzi juzi nilisikia watoto chalii!! sasa leo unauza nyumba!!! lakini nakubaliana na wewe labda laki tuwili!! ukapangishe maana hata bei yake ni ya chumba ni Tshs 3000/= kwa mwezi. Lete picha Bro!!! uthaminishe!!
Du!!!!!!!! Utani bro!!! Juzi juzi nilisikia watoto chalii!! sasa leo unauza nyumba!!! lakini nakubaliana na wewe labda laki tuwili!! ukapangishe maana hata bei yake ni ya chumba ni Tshs 3000/= kwa mwezi. Lete picha Bro!!! uthaminishe!!
Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 443 Reaction score 18 Sep 27, 2009 Thread starter #16 Picha inakuja soon! Naichukulia timing kwanza maana.....
J jose coutryman New Member Joined Aug 20, 2009 Posts 2 Reaction score 0 Sep 28, 2009 #17 mzee tuonyeshe picha ya nyumba ahsante