mseseve JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 511 Reaction score 89 May 28, 2012 #1 nyumba ya vyumba vitatu na sebule ipo mbezi makabe bei 12mil pia kuna maelewano contacts 0715093785 gari inafika mpaka mlangoni
nyumba ya vyumba vitatu na sebule ipo mbezi makabe bei 12mil pia kuna maelewano contacts 0715093785 gari inafika mpaka mlangoni
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 May 28, 2012 #3 weka picha mkuu.....
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,872 Reaction score 27,490 May 29, 2012 #4 Weka picha na maelezo mengine ya kumvutia mteja,kama vile umbali kutoka barabara kuu,maji na umeme,imeisha au ni semi-finished,ilikuwa inaishi watu au ni mpya kabisa n.k.
Weka picha na maelezo mengine ya kumvutia mteja,kama vile umbali kutoka barabara kuu,maji na umeme,imeisha au ni semi-finished,ilikuwa inaishi watu au ni mpya kabisa n.k.