Ipo pugu kona
Ina mzunguko wa mita za mraba 25/20.
Ina vyumba vya kulala 5 ikiwemo master 1. Mabafu na vyoo 4 . Sitting room, Dinning, jiko na store.
Iko fully furnished nusu tiles na sakafu ya kawaida, gimpsum na ina eneo la ua mkubwa kiasi.
Imeunganishwa na maji ya dawasa na umeme wa kudumu.
Iko kando ya barabara kunwa ya lami iendayo kisarawe.
Inafaa kwa matumizi ya makazi na biashara.
Karibi ujionee
Wasiliana na mwenye nyumba