Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

Freyz

Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
14
Reaction score
7
Nyumba ipo kinondoni B,inaangaliana na kituo cha mwendo kasi
Bei ni milioni 500...maongezi yapo
0719 805851
0769 512418
 
Hizo hela naununua sqm 2000 goba. Najenga ghorofa kali
Naweka swimming pool kali.
Nanunua Gari kali.
 
uzie vipofu nyumba ina nyufa ka banda la sungura
 
Mbona ya zaman hivo
Kwa hiyo Bei uzia wasomali tena yule mjinga

Check hilo dirisha la mbele limepasua ufa mkubwa
Hapana kwa kwel
 
Nyumba ipo kinondoni B,inaangaliana na kituo cha mwendo kasi
Bei ni milioni 500...maongezi yapo
0719 805851
0769 512418
Kwa lugha nyingine wadau wanakwambia tangazo liwe attached na picha boss.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom