Nyumba inauzwa.

Nyumba inauzwa.

nasy de jr

Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
14
Reaction score
1
Nyumba inauzwa maeneo ya magomeni kagera.ina vyumba sita,choo na bafuu vya ndani kwa ndani. Pia inauzio mkubwa wa ukuta na ina geti. ila gari haliwezi kufika ndani huwa lakini unaweza kupaki nyumba ya pili. Nyumba kubwa na nzuri pia inasehemu ya kulia chakula na sehemu ya kupumzikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom