Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
239
Reaction score
160
Nyumba inauzwa ipo kijichi ina vyumba 3 vya kulala darning choo cha nje sebule kubwa fansi na geti kubwa kuna bomba la maji na eneo zur la limebaki bei yake ni 65ml mazungumzo yapo kama mtu yupo serious
Kwa mawasiliano 0716671919
0683715151

1470056426800.jpg
1470056436171.jpg
1470056445080.jpg
1470056463379.jpg
1470056474780.jpg
1470056487809.jpg
 
Kiwanja kina ukubwa gani, kiwanja kina tittle deed? Kijiji ni pana, sema iko kijichi eneo gani? Je gari inafika? Yaani ni vizuri san ukaelezea biashara vizuri ili kuepuka maswali mengi.
 
Kiwanja kina ukubwa gani, kiwanja kina tittle deed? Kijiji ni pana, sema iko kijichi eneo gani? Je gari inafika? Yaani ni vizuri san ukaelezea biashara vizuri ili kuepuka maswali mengi.
Ngoja ajibu maana na Mimi nilikuwa na maswali hayo
 
Ukweli kwa mil. 65 unaweza kununua kiwanja na ukajenga nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu. Hii nyumba ya mfumo ule wa miaka yetu ile kwa bei hiyo unataka ainunua nani? Kwanza kiwanja ni high density, pili kwa wanaunuzi wa hiyo nyumba ni wale wa kipato cha chini kwa misingi hii kuupata milion 65 ni kazi kubwa. Tajiri atakayenunua hapa ni lazima angalao kiwanja kingekuwa kikubwa ili aweze kubomoa na kujenga nyumba ya maana yenye nafasi. Pia kama pia ni maeneo yasiyo pimwa ndiyo kabisa inabisi dalali wangu ukae tena na Mwenyenyumba mkubaliane bei mpya ya kuendana na aina ya mnunuzi wa nyunba yenu hiyo. Nimesema ukweli na usifikiri ni fitina. Unajua kwa sasa watu ni waangalifu sana. Nimetoa ushauru uzingatie mkuu.
 
Nyumb ipo kijichi mgeni nani kina leseni ya makazi ukubwa ni futi 100kwa 115
 
Hii hali inanitisha sana ,nyumba na viwanja vingi vinauzwa sana kipindi hiki kwa bei za kiaina aina kana kwamba kuna mstukizo flani ,Nini kinachoendelea wakuu? maana hata kama ni ukata sio hivi.Au haya ndo maeneo ya wazi yanayolalamikiwa kila siku
 
Asilimia kubwa sio maeneo ya wazi na wala hakuna magumashi,tatizo watu mirija haramu ya hela imekata na walizoea kuishi kifamle kinyume na kipato chao halali,so wanachokifanya sasa hivi ni kuuza asset zao ili kuweza kulipia mahitaji muhimu kama vile Ada za shule na mikopo waliyokopa.
 
MSINUNUE NYUMBA/VIWANJA VISIVYOPIMWA MAANA MTASAGA MENO MDA SO MREFU HII SERIKALI NI TAFAUTI SANA NA ZILE MLIZOZIZOEA ZA KUSEMA UNANIJUA MIMI NANI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom