Nyumba inauzwa - Zenji

Nyumba inauzwa - Zenji

mark-gba

Member
Joined
May 4, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Habari yenu wadau wa jf.

Nachukua nafasi hii kukutangazieni kua nyumba inauzwa.

SEHEMU: UNGUJA - MWANAKWEREKWE JITIMAI.
Planned area/panafikika vizuri kwa gari za aina zote.
Karibu na soko kuu na huduma muhimu za kijamii zipo karibu.

VYUMBA: Vitano (5) -Kimoja MASTER.

KUMBI: NNE (4)
- kumbi (3) sitting; mmoja wao mkubwa.
-Ukumbi wa kula mmoja 1.

VYOO: Viwili 2.

JIKO: Moja 1.

STOO: Moja 1.

Umeme / maji

ENEO LA WAZI: haina fensi, ila lipo eneo la kuegesha vipando(gari ndogo na saizi ya kati) na bustani.

UTAYARI: yanahitajika matengenezo madogo ktk vyoo viwili.

BEI: Shilingi Milioni 67

KWA MAWASILIANO:
-Simu namba +255 773191027 / +255 773234235
-Barua pepe: shirazy7@yahoo.com au t.eightyone@yahoo.com.
 

Attachments

  • 1392381533872.jpg
    1392381533872.jpg
    121.5 KB · Views: 133
  • 1392381591135.jpg
    1392381591135.jpg
    135.6 KB · Views: 115
  • 1392381628208.jpg
    1392381628208.jpg
    77.9 KB · Views: 121
Mnataka watu wanunue afu muwafukie visimani na kuwazika?
 
badilisheni kwanza kipengere cha katiba yenu kinachowazuia watanganyika kumiliki ardhi
 
Nani aje ku risk pesa zake huko?!Uzianeni ninyi kwa ninyi hakuna sababu ya kununua matatizo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wew Unataka Watu Wawe Wanatembea Na Element Kichwani Ili Wasimwagiwe Tindikali.Zanzbar Mnatucgua Sana Watu Wa Bara
 
Ahsante.
Huko zenji hamkujui vizuri
Nikutaarifuni tu Wakaazi wa zenji wenye asili ya bara wana vitambulisho vya mzanzibari na wanapiga kura kama kawa hata wazenji wengine hawavipati.
Wamachinga na walinzi wa kimasai mahotelini wanamiliki nyumba na kuzikodisha kwa wenzao.
 
Sitokuja kwenda zenji kamwe,uzen kwa mzenji pia make sku c nying mnakuwa taifa huru kama mnavotaka muish na uamsho wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom