Nyumba inauzwa Ukonga

Nyumba inauzwa Ukonga

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Habari wakuu,

Nyumba inauzwa ipo Ukonga Mazizini, ina vyumba 3 vya kulala, sebule jiko na choo, bei yake ni Mill 35 negotiable, madirisha na milango yake ipo ambayo bado haijawekwa kwenye nyumba.

Karibuni

Contact 0713196055
 

Attachments

  • 1435180903024.jpg
    1435180903024.jpg
    113 KB · Views: 302
  • 1435180946042.jpg
    1435180946042.jpg
    61.8 KB · Views: 264
  • 1435180972393.jpg
    1435180972393.jpg
    72.1 KB · Views: 254
  • 1435181004242.jpg
    1435181004242.jpg
    42.4 KB · Views: 257
Nauza Kiwanja Kivule njiapanda ya shule ukubwa 50/25 mil 7 nichek 0779545500
 
Nauza Kiwanja Kivule njiapanda ya shule ukubwa 50/25 mil 7 nichek 0779545500

Huku mil.7 Kule mil.6. Wewe jamaa wewe kama vile hujielewi. Alafu kwanini unadandia matangazo ya wenzako???? Anzisha Uzi wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom