Nyumba inauzwa Ukonga, Magereza

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
Salaam,
Wanajukwaa;
Nyumba inapatikana ukonga, magereza (kichangani)
Taarifa kamili:
Nyumba ina vyumba vinne vya kulala na kimoja wapo ni Master bedroom.
Ina sebule, jiko, public toilet na store
Eneo la nyumba (kiwanja) sqm 420
Maji na umeme vyote vipi
Umbali kutoka njia kuu ya lami pugu road ni 600m
Ina leseni ya makazi (na urasimishaji ndio upo kwenye hatua za awali)
Bei: 50m (mazungumzo mezani)
More info: 0785 857564

 

Attachments

  • IMG_20181105_171325.jpeg
    51.4 KB · Views: 25
Nipe hiyo 600.nanunua kiwanja cha 200 na 300 au 350 najenga ikulu ndogo .nalipa deni la Mahal bajaji 3 bodaboda 3 na akiba
 
[SUB]Hii itakuwa ilishabomolewa kupisha Ujenzi wa reli yastandard gauge[/SUB]
 
Hilo ni banda/store na wala siyo nyumba! Nyumba ni kama hii hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…