Nyumba inauzwa Tegeta, bei maelewano

Nyumba inauzwa Tegeta, bei maelewano

gugu

Member
Joined
Nov 14, 2008
Posts
69
Reaction score
12

Attachments

  • IMG-20150415-WA0003.jpg
    IMG-20150415-WA0003.jpg
    53.2 KB · Views: 484
  • IMG-20150415-WA0004.jpg
    IMG-20150415-WA0004.jpg
    37.7 KB · Views: 424
  • IMG-20150415-WA0005.jpg
    IMG-20150415-WA0005.jpg
    63.6 KB · Views: 411
hiyo hela ya mahekalu mawili ndugu mbona anyway ngoja waje
 
Nyumba za bongo zina bei mno, ni bora nikanunue nyumba South Africa au USA, its cheaper than Tanzania, Nchi yenyewe maji kutoka ni matatizo, umeme ndio usiseme, miundombinu yenyewe ya kuungaunga kwa misaada halafu nyumba inauzwa Shs Billion utasikia hapo.
 
TZS 325M kwa maelewano zaidi na kuona piga simu

Hiyo pesa kama nipo South Africa au USA nimeshanunua nyumba ya maana na change nabakia nayo ambayo ninaweza ku invest kuliko kununua hilo boma lisilo na maji wala umeme usiokuwa wa uhakika, gari linafika huko?
 
Labda guguletu au lang'a
 
Mkuu kumbe hapa Bongo watu wanazingua kuna mtu nae ananunua nyumba bil. Dah kweli kama ni kweli ngoja nijichange naeza ondoka bongo who knows, mwananyamala nako kuna nyumba za mil 300 siku hiz
 
Mkuu kumbe hapa Bongo watu wanazingua kuna mtu nae ananunua nyumba bil. Dah kweli kama ni kweli ngoja nijichange naeza ondoka bongo who knows, mwananyamala nako kuna nyumba za mil 300 siku hiz

Hiyo Tsh Bil inakaribia $400,000 sasa huyo siuandawazimu unanunua nyumba halafu barabara ya kufika huko shida, maji na umeme shida. Ni bora nikanunue nyumba South Africa au US kwa $ 50,000 na change ya kuivest ninayo. Mi nina nyumba nyangu ipo Mwananyama nikipata mpumbavu atayefika bei nzuri lazima nimpige za uso nitakuja kuiuza na kurudi zangu ughaibuni. wajinga ndio waliowao. Mitanzania inaonasifa kununua nyumba kwa bei ghali haijui kuivest zaidi ya kununua mijumba mibovu au kununua matrack wenywewe wameona ndio deals.
 
Labda guguletu au lang'a

Inawezekana unaishi huku, unaweza kuiza nyumba bongo na ukaishi vizuri sehemu yoyote. Nimekaa South Africa nyumba sio ghali sana kama bongo. Hata hapa Canada sio bei kuliko huko Bongo, bado nyie washamba mnaona kununua nyumba ndio maisha.
 
TZS 325M kwa maelewano zaidi na kuona piga simu

Duuu....ukiuza mkuu shida zako zote zitakuwa zimeisha. Nyumba ya sample km hiyohiyo pale las vegas US inauzwa $70,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom