weka bei hapa kabisa, haya mambo ya ku pm ndo wizi wenyewe
bei ni milioni 150 mazungumzo yapo kama unapungufu
unaumwa
Duuh..chukua likes za kutosha Mkuu..jamaa atakuja kutuelezea hilo..Vipi tatizo la kutuama maji hapo? naona kama pavements zimefubaa na huyo mama anang'oa ndago?
kumbe shi ngapi?!!
Kwa nyumba ya kawida ya vyumba 3, 150m/- ni ndefu labda tuseme kwa kuwa kiwanja kinaonekana ni kikubwa hapo.sawa!
kama huna uhitaji wa nyumba acha wenye uhitaji wanunue wewe kaa kimya
unaumwa
Ameweka cha juu Mkuu, hao ndo wale wakienda kwenye bendi ataskia wakitajwa ni mapapaa kumbe Matapeli tuPicha zimeandikwa 120M, wewe wasema 150..lol