Picha tafadhali
Hiyo nyumba au gofu?
weka maelezo ya kutosha
asante kwa taarifa
Chanika?nyumba ya vyumba3?umeme upo?dk7 kutoka road?eneo 35x30?mil13?haipungui?
Ni Chanika ipi?ya Dar au Kigoma?
Nauza haraka nyumba yenye vyumba vitatu ambayo ipo kwenye eneo kubwa la mita 35 kwa 30 Chanika mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. Umeme upo. Bei sh. Mil. 13, haipungui. Unaweza kuikarabati nyumba, kuongeza ukubwa au kujenga nyingine hapo hapo. Kwa anayehitaji piga simu namba 0715 597591
labda nyumba ni gofu...