Nyumba ya vyumba viwili vya kulala kimoja master, sebule na jiko inauzwa salasala, ipo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa 20m x 20m, haina hati, bei ni Tshs. 30,000,000/= kwa anayehitaji anaweza kupiga namba 0625595624, karibuni.
Ndugu yangu wewe soma vzr, amesema haina hati!!!!Sasa mbona habari yajichanganya? Umesema haina bati wakati picha inainesha ina bati...........!
Nimesharekebisha....angalia namba tatu hapo juu. Hata hivyo asante....Ndugu yangu wewe soma vzr, amesema haina hati!!!!