Nyumba inauzwa (reasonable price)

Nyumba inauzwa (reasonable price)

leonard mwenda

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2015
Posts
253
Reaction score
64
Habari za majukumu:
Nyumba ambayo haijakamilika inauzwa ipo KITUNDA (banana)
Ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, jiko, na choo cha ndani.
Ukubwa wa Eneo; square meter 484 (22×22)
Maji na umeme vipo mpakani mwa nyumba.
Bei 18m.
Attachment below

1519463222337.jpg
1519463232812.jpg
1519463246808.jpg
1519463262651.jpg
1519463275613.jpg
1519463320772.jpg
1519463360012.jpg
 
Habari za majukumu:
Nyumba ambayo haijakamilika inauzwa ipo KITUNDA (banana)
Ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, jiko, na choo cha ndani.
Ukubwa wa Eneo; square meter 484 (22×22)
Maji na umeme vipo mpakani mwa nyumba.
Bei 18m.
Attachment below

View attachment 700720 View attachment 700721 View attachment 700723 View attachment 700724 View attachment 700725 View attachment 700727 View attachment 700728
Kama hakuna magumashi n bei sawa na bure ,,, ila nimewaza sana je kiwanja hapo hakijapigiwa hesabu ya kuuzwa??
 
Kupandisha boma ni 8mil, kupiga bati ni 6mil, kiwanja ni 4mil.

Ni bei halisi, nilitegemea iwe juu ya hapo, kwanini uuze kwa bei hiyo, kuna shida sana?
Mmiliki ana miji miwili, kaamua kuendeleza mji mmoja.
 
Kupandisha boma ni 8mil, kupiga bati ni 6mil, kiwanja ni 4mil.

Ni bei halisi, nilitegemea iwe juu ya hapo, kwanini uuze kwa bei hiyo, kuna shida sana?
Hapo hujaweka gharama za usimamiz na vitu vidogo vidogo hajaweka faida kabisa mana kiwanja 22*22 +nyumba kwa bei hyo n sawa na bure ,, ???????????
 
Hapo hujaweka gharama za usimamiz na vitu vidogo vidogo hajaweka faida kabisa mana kiwanja 22*22 +nyumba kwa bei hyo n sawa na bure ,, ???????????
Hii nyumba toka inajengwa naiona, ilijiengwa kwa mda mfupi sana.
Na mwenye mji alijenga kwa dhumuni/lengo la kupangisha.
Kwa nilivyosikia alikopa pesa mahali sasa mambo yamekuwa magumu kwenye kurejesha.

Nb. Usipige gharama ya Kiwanja maana kikishajengwa hakiitwi Kiwanja tena ni Nyumba hiyo.
(Naona unapiga na hesabu ya Kiwanja)
 
Hii nyumba toka inajengwa naiona, ilijiengwa kwa mda mfupi sana.
Na mwenye mji alijenga kwa dhumuni/lengo la kupangisha.
Kwa nilivyosikia alikopa pesa hela mahali sasa mambo yamekuwa magumu kwenye kurejesha.
Karibu sana Mkuu.
Duh aiseee ngoja nimwonyeshe bro kama yuko njema
 
Hapo hujaweka gharama za usimamiz na vitu vidogo vidogo hajaweka faida kabisa mana kiwanja 22*22 +nyumba kwa bei hyo n sawa na bure ,, ???????????
Usiwe na shaka mkuu!
Kama ni mauziano nadhani yatafanyika sehemu stahidi inayotambulika kisheria.
Karibu!
 
Spoiled brat......ukiijua thamani ya shilingi 500 huwezi andika ulichoandika, mshukuru aliyepambana kwaajili yako
Vitoto kula kulala vinavyopishana na mama zao kwenye corridor asubuhi asubuhi vinaleta dharau sana humu,ukimuuliza hata bei ya tofali hajui.inakera sana mkuu
 
Vitoto kula kulala vinavyopishana na mama zao kwenye corridor asubuhi asubuhi vinaleta dharau sana humu,ukimuuliza hata bei ya tofali hajui.inakera sana mkuu
Kwenye maisha/jamii watu kama hawa lazima wawepo ili kutoa changamoto za maisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom