Hee! kwani vipi? ni ajabu mie kuuza nyumba yangu au tusi kwa ajili ya nini?!..jichagulie tusi!
Vipi Mkuu umemaliza au utarudi tena kumaliziaNauza nyumba yangu iko Kirumba, Wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza.
Ina vyumba vine (4) choo na bafu viko nje
Kutangaza kuuza nyumba ni utumbo?! watu mmechanganyikiwa nahisi. kwani ni dhambi nikitangaza kuuza nyumba yangu???mods unafuta post zetu mnaancha hawa watu wanapost utumbo. badala mfute utumbo mnafuta post zetu
Ngoja nikutumie bei PMweka bei mkui
Kumalizia nini?Vipi Mkuu umemaliza au utarudi tena kumalizia