Nyumba inauzwa Moshi

changwe

Senior Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
159
Reaction score
44
Nyumba inapatkana sanya juu moshi bei ni ml28.Ni pm au 0759292980
 
Nyumba ya ukubwa gani au ya ghorofa ngapi?

Ipo kwenye kiwanja cha ukubwa gani?

Ni nyumba ya mirathi mkuu au ni ya kwako?

Picha mkuu ni muhimu, kabla ya kuongea
 
Upuuuz Mtupu@Changwe&Kichomiz Nyamaza kama huna cha kuchangua,Fom two shule ishafunguliwa!!
 
Nyumba ipo majengo sanyajuu wilaya ya siha mkoa wa kilimanjaro ina vyumba saba na ina wapangaji so ni nzuri kwa ajili ya biashara
 
Ukitaka kununua nyumba ulizia kwanza historia yake; hasa huko moshi siyo mahali salama sana.
 
Wadau karibuni pm bei ni maelewano
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…