swank JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 748 Reaction score 1,043 Apr 21, 2018 #1 Ni nyumba kubwa ya vyumba 11 na frame nje Ukubwa wa kiwanja ni 25 kwa 23 Umeme na maji masaa 24 Nyumba ipo maeneo ya Chamwino Bei ni shilingi 20,000,000 Karibuni
Ni nyumba kubwa ya vyumba 11 na frame nje Ukubwa wa kiwanja ni 25 kwa 23 Umeme na maji masaa 24 Nyumba ipo maeneo ya Chamwino Bei ni shilingi 20,000,000 Karibuni
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,901 Reaction score 28,013 Apr 21, 2018 #2 Kiruuuu.....
bhikola JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,133 Reaction score 1,668 Apr 21, 2018 #3 jombaa kwa nyumba hiyo, na ukubwa wa kiwanja na eneo ilipo, kwa watoto wa mbwa - chamwino. Sawa, ngoja nisiweke bei yangu kwanza
jombaa kwa nyumba hiyo, na ukubwa wa kiwanja na eneo ilipo, kwa watoto wa mbwa - chamwino. Sawa, ngoja nisiweke bei yangu kwanza
swank JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 748 Reaction score 1,043 Apr 21, 2018 Thread starter #4 bhikola said: jombaa kwa nyumba hiyo, na ukubwa wa kiwanja na eneo ilipo, kwa watoto wa mbwa - chamwino. Sawa, ngoja nisiweke bei yangu kwanza Click to expand... Ndo hivyo mkuu nitafutie wateja basi
bhikola said: jombaa kwa nyumba hiyo, na ukubwa wa kiwanja na eneo ilipo, kwa watoto wa mbwa - chamwino. Sawa, ngoja nisiweke bei yangu kwanza Click to expand... Ndo hivyo mkuu nitafutie wateja basi
swank JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 748 Reaction score 1,043 Apr 21, 2018 Thread starter #5 Otorong'ong'o said: Kiruuuu..... Click to expand...