Nyumba inauzwa - milioni 35

Nyumba inauzwa - milioni 35

cashmoney

Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
89
Reaction score
31
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha - vitano kushoto vitano kulia)
: Ipo karibu kabisa na kituo cha Msongola
: Ina eneo kubwa la wazi mbele na nyuma
BEI : Milioni THELATHINI NA TANO (35,000,000)

MAWASILIANO: 0654 743 825 / 0719 844 884

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
nmeipenda hiyo nyumba tatzo pesa pesa ss wengine...
 
nipm then nicheki online kwa 0712 77 54 77 au 075833 40 40
 
Vipi mkuu, ni nyumba za NHC? Naona kama zimepangana nyingi zinazofanana vile!!
 
nyumba imemaliziwa kujengwa mwaka 2012 haina mizimu na sisi hatuna imani hizo. Tumeamua kuiuza kwa sababu nyingine binafsi tu ili kuendeleza biashara tuliyonayo, na tunaamini biashara inaweza kujenga tena nyumba kama hiyo kwa miezi au miaka kadhaa ichache ijayo kuliko tukitegemea kusubiri kodi za wapangaji ambao wanalipa kwa mwaka au kusubiri miaka kumi thamanai ya ardhi ikue. '' shika ushikacho, kijacho majaaliwa, thamani ya shilingi kumi ya leo ni kubwa ukiitumia vyema kuliko laki moja ya kesho unayoingojea''.
 
nmeipenda hiyo nyumba tatzo pesa pesa ss wengine...

mzunguko wa pesa yako ukoje, tunaweza kukubaliana ukalipa hata kwa installment tatu. (kwa ajili yako kwa kuwa umeipenda , na nizuri kuwa na kitu unachokipenda na kuvutiwa nacho)
 
Hapo red nimeipenda hiyo! Inaonyesha wewe ni mfanya biashara mzoefu!! All the best!
mzunguko wa pesa yako ukoje, tunaweza kukubaliana ukalipa hata kwa installment tatu. (kwa ajili yako kwa kuwa umeipenda , na nizuri kuwa na kitu unachokipenda na kuvutiwa nacho)
 
mzunguko wa pesa yako ukoje, tunaweza kukubaliana ukalipa hata kwa installment tatu. (kwa ajili yako kwa kuwa umeipenda , na nizuri kuwa na kitu unachokipenda na kuvutiwa nacho)
una kauli nzuri sana ya biashara ngoja na mimi nijaribu kuifanyia udalali vp nkikupatia mteja utanipa asilimia ngapi
 
Ina vyoo na mabafu mangapi au vyumba vyote ni selfu kontaini? Mjiko/jiko je?
 
aisee nyumba nzuri nimeipenda... Tatizo ndio naanza kazi duh..
 
nyumba imemaliziwa kujengwa mwaka 2012 haina mizimu na sisi hatuna imani hizo. Tumeamua kuiuza kwa sababu nyingine binafsi tu ili kuendeleza biashara tuliyonayo, na tunaamini biashara inaweza kujenga tena nyumba kama hiyo kwa miezi au miaka kadhaa ichache ijayo kuliko tukitegemea kusubiri kodi za wapangaji ambao wanalipa kwa mwaka au kusubiri miaka kumi thamanai ya ardhi ikue. '' shika ushikacho, kijacho majaaliwa, thamani ya shilingi kumi ya leo ni kubwa ukiitumia vyema kuliko laki moja ya kesho unayoingojea''.

Umenikumbusha dividend theory inayosema " A bird in hand is worth than two in the Bush".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom