Nyumba inauzwa Mil. 32 ipo Tabata

Nyumba inauzwa Mil. 32 ipo Tabata

Cacho

Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
23
Reaction score
2
Habari wana Jamii Forums.

Kuna nyumba inauzwa ipo Tabata Kimanga kituo ni chama. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni Masta, sebule kubwa, dining na choo cha ndani na ina eneo kubwa kiasi ila bahati mbaya gari haifiki. Mawasiliano piga 0655 360 818 mazungumzo yapo.

karibuni sana.
 
Nyumba ipo tabata kimanga kituo ni chama. vyuma vitatu kimoja ni masta, sebule ,dining na choo cha ndani na umeme ushaingia ila Nyumba ni mpya haijakamilika baadhi ya sehem.piga 0655 360 818 kwa maelezo zaidi
 
Weka picha mkuu. Kwanini Gari haifiki je ni miundombinu mibovu au imejichomeka uswazi katikati ya nyumba nyingine?
 
Weka Picha na je ina hati? Madalali wanalipwa na mnunuzi au muuzaji? Km mnunuzi ni kiasi gani? Gharama za mwanasheria nazo, nani atalipia....weka wazi
 
picha weka namba nikutumie whatsapp. nyumba haina hati inakaratasi za mauziano na biashar itafanyika serikali za mitaa ambao wanacmama km mwanasheria
 
Hii itakuwa pale bondeni. Hapo mvua ikinyesha mnahama ikatika mnakuja kuhanika magodoro. Hapo ni balaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom