Kuna mtu alinipa ofa hiyo ngoja nimtafute kama bado anao uhitaji.Rejea hapa
Nimeamua kuiuza.
Mwenye Mil 20 chap aje nimpatie.
Ni yangu mwenyewe.
Cc: Half american na wengineo mliokuwa mnauliza.
Nyumba ina vyumba viwili vyote master, chumba kimoja cha master ni kikubwa (cha baba na mama),
Ina public toilet,
Ina jiko,
Ina stoo.
Ina sebule kubwa.
Nyumba nimeshaipaua tayari na ina vyoo ndani (master kubwa ina choo cha kukaa, public na master ingine ina vyoo vya kuchuchumaa) Vyote vipya.
Nimeshafanya hatua za awali za wiring bado kuingiza nyaya kwenye switch tu.
Nimeshafanya brandering nyumba nzima kwa ajili ya gypsum
Karo la choo na chemba zake ziko tayari.
Ina madirisha ya grill na mageti mawili (la mbele na nyuma yenye vitasa vya funguo)
Na mbele ya nyumba kuna eneo kubwa tu limebaki kwa ajili ya ufugaji au kilimo
Nyumba iko Ndachi, kilometa 1 toka hospitali kubwa mpya ya Jiji la Dodoma.
Na kilometa 2½ toka mizani na parking ya malori Nala.
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 554.
Wale wastaafu nawaita mara 3
Nunueni mje kucheza na wajukuu zenu.
Nimetoka Chunya jana kuja kuiuza. Dodoma baridi sana.
Nunueni nirudi zangu Chunya.
Haina dalali.
Mawasiliano
0743175275
View attachment 3319137
View attachment 3319138
View attachment 3319139
Ok mkuuSawa. Karibu sana mkuu.
Mtafute halafu utanirudia.
CC Mung ChrisRejea hapa

Nimekutumia ujumbe PMSawa. Karibu sana mkuu.
Mtafute halafu utanirudia.