Nyumba inauzwa mbezi beach

Eee mkubwa wa wote msamehe huyu kiumbe mwenye chuki na madalali kwa sababu ajui alitendalo
 
Mimi nakupata mkuu, bei za hapo si ndogo tatizo hiyo plan.
Ungeweza kuweka CAD-plan tungeweza kufikiria namna ya kufanya.
Angalizo tu ni kuwa plan yako si lazima iwe plan ya mnunuzi.Itafaa kama plan hiyo inaweza kuwa modified ili jengo litumike kwa shughuli nyingine na si za developer wa kwanza/muuzaji.
 
Mkuu hii bei bado ni ghali sana kwa kiwanja hicho. Kwa hesabu za haraka hapo kwenye hiyo structure ametumia <30M na viwanja vya 900sqm maeneo hayo unaweza kupata kati ya 50 - 90M. Ukisogea mbele kidogo Bahari Beach (ambapo ni pazuri zaidi) viwanja vya 1800sqm vipo kati ya 70 - 100 M.

Anyway, mwisho wa siku nyinyi mtaweka bei yoyote lakini ni mteja atakayeamua kiuzwe kiasi gani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…