Nyumba inauzwa mbezi beach mil 120

Nyumba inauzwa mbezi beach mil 120

mfetere

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
251
Reaction score
95
Habari wadau nyumba inauzwa ipo tangibovu, vyumba vitatu vya kulala viwili ni master, sebule, jiko na dining ipo sehemu nzuri gari inafika maji, umeme vipo mwenyewe anakaa hapo kwenye nyumba haina longo longo njoo uwone nyumba bei ameanzia mil 120 maongezi yapo mengi sana maana jamaa ametaitiwa kwa mawasiliano 0714787795 karibuni sana.
6f1531ff96c065f75f2779ad35990040.jpg
35903d09d01dafa0d8158542b94fc2e9.jpg
2f09ea570afad86dfb5228ef592bd57b.jpg
87a63aabf3be519b035c2f0f8cc1d4d8.jpg
18d660973af6dd9d59539056b21d57ac.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atujalie tupate Senti ili likitoka tangazo kama hili tufikirie kufanya muamala sio Kucomment
 
Je Imeshauzwa? Kama hapana
Ina hati? Ikiwa jibu ni ndiyo January nitakucheki Kama itakuwa bahati yangu ikawa bado haijauzika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom