clinton gidioni
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 172
- 194
Sijakuelewa una maanisha nini mkuu.Punguzo la bei
Nilikosea mkuu ni mbagala mwanamtoti karibu na kijichiHivi huwa ni Mbagara au Mbagala? Naomba niwe na uhakika ni ipi unayoongelea weye
Ndio hio hio mkuuNyumba hii hii ilikua inauzwa mbagala sabasaba ktk ule uzi wako mwingine au hii nyumba imehama now.
Ndio hii hii??? Unamaanisha imehamia mwanamtoti now ama????Ndio hio hio mkuu
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 750 yani 25 kwa 30. Picha za tiles hizo hapo ambazo hiyo ya kwanza ni kwa ndani na hiyo ya pili ni njeKwanini huwa hamjifunzi kuvutia wateja kwa hats picha? unaelezea vyumba picha wapi?
Mfahamu kuna wanaotaka kununua iwe ya kuwekeza wapangishe, sasa mtu nikiona hii naona kazi kubwa ipo kufanya hapo. Nafikiria ni millioni ngapi nitaongezea na unaongelea kama siyo nyumba imayoonekana katika picha.
Michanga inafanya nini hapo? etc
Hata size ya kiwanja haujaweka, nitajivutaje kukutafuta?
Hizo tiles etc why hauzionyeshi na mengineyo?
Ni mimi nayeweza kutaka kuwekeza ndio nimeuliza.
KWA MILIONI 20 UTAMPATA WA KUMUUZIA...Habari wanajamii forum nyumba inauzwa mbagara mwanamtoti Pia iko karibu na barabara na gari linafika hadi nyumbani.
NYUMBA INASIFA ZIFUATAZO.
- ina umeme
- ina maji (maji sio ya chumvi)
-nyumba imesha sakafiwa pia ina tiles na gypsum kwa juu.
-nyumba ina vyumba vinne vya kulala ina jiko ina stoo ina vyoo viwili cha nje na cha ndani.
Pia ipo karibu na barabara ya kuelekea mbagara kuu.
NYUMBA INA NYARAKA ZOTE. BEI NI SH 55M MAONGEZI YAPO.
Karibuni sana njoo PM KWA MAWASILIANO ZAIDI
View attachment 430497 View attachment 430499 View attachment 430500
Sio mbaya niuzie ya kwako kwa m20.KWA MILIONI 20 UTAMPATA WA KUMUUZIA...
...kuna swali umekwepa!...nyumba imehamia mwanamtoti kutoka sabasaba,ama?Sio mbaya niuzie ya kwako kwa m20.