Nyumba iko karibu na stendi mbande, bei ni mil 8, maji yapo karibu, umeme uko nyumba ya tatu toka yangu ni suala la kuvuta tu, ina vyumba vtatu na sebule.bei ni mil 8.
anayehitaji ani pm.
Hebu weka picha tuione hiyo nyumba ya Mil.8, na je ni yako binafsi au ya urithi..!?
yangu binafsi, sina kamera kwa sasa. kama uko tayari njoo uione.
1km kutoka stendi na kiwancha ni 50 by 40 metreIko kwenye Kiwanja cha ukubwa gani?
Iko m]umbali gani from main Road?
1km kutoka stendi na kiwancha ni 50 by 40 metre
fanya reference iwe uwanja wa azam... Rangi tatu mbali mkubwasorry, waweza kunisaidia mbande iko wapi?
Ndio chamanzi?
Kama sio, wapi ni mbali zaidi?
Chaweza kua umbali gani from round about ya rangi tatu?
fanya reference iwe uwanja wa azam... Rangi tatu mbali mkubwa
Kuna-udanganyifu fulani kwa huyu ndugu, hajasema ukweli halisi anataka kupata wateja haraka haraka, inawezekana sio ukubwa huo, au nimbali sio kama asemavyo, pia inawezekana sio nyumba ni mabanda. Au anataka Kutapeli watu. Viwanja tu chamazi mbande mita 15 kwa 15 vilivyopo ktk mitaa ni 5m mpaka 7m. Sasa mita 50 kwa 40 na nyumba juu kwa 8m ?!!Kwa hali ya viwanja Dar ilivyo kwa sasa, ikizingatiwa miaka 4 iliyopita nilitembea sana hiyo mitaa kutafuta viwanja, hata nikaenda kuonyeshwa viwanja vya milioni 4-6 baada ya kuvuka bonde fulani mbele(kwa waliofika watalijua hilo), nimepita mpaka msongola, then leo 2014 nyumba ya bei hii 8m kuwepo Mbande inanitisha sana mimi hata kama ingelikuwa ni kiwanja cha 50x40, something must be wrong with this deal. Anyway, idhari tu hiyo msvunjike moyo wadau kwenda kujipatia nyumba hiyo!