Nyumba inauzwa Kitunda


ndugu yangu majibu ya maswali yako yote yapo hapo kwenye picha,angalia vizuri
 
Nawaza hivi bei za NYUMBA HASWAA HAPA TZ zinapanda panda vipi?
 
Kweli bwana yako kwenye picha....hata hati ya ardhi nimeiona...all the best

Dalali tu huyu kapiga picha na simu yake kisha kakimbilia kupost JF hata idea ya blockers hana. Ushauri tu aenda akusanye data kwa mwenye mjengo aje apost hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…