Nyumba inauzwa Kitunda

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Nyumba ya vyumba vitatu kimoja kikiwa ni master,dinning,siting room,jiko na public toilet inauzwa iko kitunda bei ni milioni 150 mawasiliano zaidi piga 0714358610
 

Attachments

  • DSC04463.JPG
    80 KB · Views: 411
  • DSC04465.JPG
    60.4 KB · Views: 385
  • DSC04473.JPG
    48.1 KB · Views: 342
  • DSC04475.JPG
    19.7 KB · Views: 367
  • DSC04476.JPG
    41.1 KB · Views: 327
  • DSC04490.JPG
    57.6 KB · Views: 339
  • DSC04488.JPG
    42.9 KB · Views: 317
  • DSC04483.JPG
    37.7 KB · Views: 325
  • DSC04480.JPG
    27.7 KB · Views: 339
  • DSC04477.JPG
    30.8 KB · Views: 349
mmmnh!! hivi hela ya Tz imeshuka thamani sana enhe yaani million 150! nyumba hii! Kitunda!!?, duh mkuu au hiyo 1 hapo nyuma imeingia bahati mbaya ulitaka kuandka 50million!!!
 
milion 150 kwa nyumba hii. tena kitunda kwa mama mpika uji. toa iyo moja ya mbele boc. kama vp ish mwenyew
 
mmmnh!! hivi hela ya Tz imeshuka thamani sana enhe yaani million 150! nyumba hii! Kitunda!!?, duh mkuu au hiyo 1 hapo nyuma imeingia bahati mbaya ulitaka kuandka 50million!!!

ni mawazo yako mkuu
 
Housing market ya bongo iko inflated mno. Hii ni 3 bedroom house iko Houston, TX eneo poa tu, .... bei ~ Tsh 140 mill ($ 85,000)
 
Housing market ya bongo iko inflated mno. Hii ni 3 bedroom house iko Houston, TX eneo poa tu, .... bei ~ Tsh 140 mill ($ 85,000)

nenda kanunue hiyo hiyo
 
Housing market ya bongo iko inflated mno. Hii ni 3 bedroom house iko Houston, TX eneo poa tu, .... bei ~ Tsh 140 mill ($ 85,000)

Hizi sio ndo zile nyumba 85% zimejengwa kwa mbao?
 
Jamaa kawasaidia sana ambao hamjajenga, tena nyumba iko mjini kwa bei nafuu.

Nyie mnaohoji kuwa kitunda nielezeni ivi NHC nyumba wanazouza zimejengwa wapi na wanauzaje?
 
Jamaa kawasaidia sana ambao hamjajenga, tena nyumba iko mjini kwa bei nafuu.

Nyie mnaohoji kuwa kitunda nielezeni ivi NHC nyumba wanazouza zimejengwa wapi na wanauzaje?

wote wanaohoji sijui kitunda sio wanunuaji hao...
 
nenda kanunue hiyo hiyo

Ukijibu hivi hutaiuza........simply waeleweshe watu kwa nini unaiuza bei hiyo. Jaribu kueleza:


  1. Ukubwa wa kiwanja
  2. Neighborhood ya nyumba
  3. Maji umeme kama vinapatikana
  4. Ni mpya ama imeshatumika
  5. Umejenka mwenyewe au kwa contarctor
  6. Umeiweka kama bond bank
  7. Ina hati au haina
 
150 yakurithi nini? Ungejenga mwenyewe usinge ropoka bei hiyo, anyway mnataka wa rithi mgawane vizuri ngoja nikuitie mhindi mmoja wa upanga aje kuiona, kwani wao hununua hata nyumba ya kupanga ya NHC.
 

jamaa kama mjanja atafuata ushauri wako.....

hapa watu wamempanikisha nae kapanik atajikuta katoa sir amzazo zitafanya nyumba isiuzike
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…