serioustime
Member
- Feb 29, 2012
- 6
- 1
Nyumba ina masterbedroom,2bedroom,sitting room,dinning room,public toilet na kitchen imewekwa bati bado kuweka flemu za madirisha na mirango,ina fensi ya miti gari inafika kwako,nimeanza process za hati bado sijamalizia kutokana na hali ya kifedha kuwa mbaya nahitaji mnunuzi !picha nitaziweka kesho samahani sana !kwa urahisi wa kujua eneo ukipanda daladala ya banana - kivule unashuka kituo cha matembele 2 kivule
ndio mkuukitunda ya banana mkuu? toa namba mkuu
Bei rahisi sana kwa maeneohhao,dar hela zingekuwa mchanga ningekuja fasta sema nimepigika mbaya
ningejua hata hiyo kivule iko wapi yan niko gizan