Fikira kali
Member
- May 30, 2012
- 8
- 0
Hebu nikumbushe kumbe JK aliitaje vile pesa yetu? Ya madafu? hahahhaahhaha ndio waliowekwa walinde nchi hawa, walivyosikia kulinda wakajua hadi uwe na bunduki, Poor Tanganyika200m kibanda kama hiki,mbona mnadharau pesa hii ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania!!why?
watu wananunua mboga 10m unashangaa nyumba kuuzwa 200m?200m kibanda kama hiki,mbona mnadharau pesa hii ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania!!why?
IPO Kinyerezi kwa Ditopile ina vyumba vinne sebule 2 jiko na sehemu ya chakula vyumba viwili ni master, ina full paving blocks na Maji baridi ya Kisima tsh 200m maongezi yapo 0758041365
200m kibanda kama hiki,mbona mnadharau pesa hii ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania!!why?
Kweli kabisa, TZS haijashuka thamani kiasi hicho.200m kibanda kama hiki,mbona mnadharau pesa hii ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania!!why?