Vipi mandhari ya pembeni yake (neighborhood)??
Gari inafika getini?
Barabara ya kufika hapo ikoje?
Umbali from Main Road?
Documents zote halali zipo?
Usalama wa eneo? (Hakuna kijiwe cha wahuni/walevi pembeni),
Nikija nijiandae na Service Fee ya Tshs ngapi kunipeleka?
Hiyo Nyumba sio mhanga wa Mafuriko?
Na nkinunua we utahitaji % ngapi?
Je ni Kutoka kwangu/muuzaji/both? Kwanini?