Ingekuwa dalali wa goba hapo anakwambia milioni 150 😂😂😂😂Bei: Tzs Milioni 55. Maongezi yanaruhusiwa.
Nipe ramani mkuu nikajenge na uisimamie mjengoKimara tena Temboni, unanunua kiwanja na inajenga within a month kwa milion 50 ramani yako mwenyewe
Weka mkuu,usikute dharura yake hata 20 tu anachukua chap.....maana kuna nyumba pale Karibu na Halmashari ya Ubungo,dalali alitangaza mil 65 baada ya kupenya penya mwenye nyumba walikuwa wanaachana na mkewe,na walitaka mil 35 tu,wakala 25 chap tu na ilikuwa na hati na square meters 630Yako umeweka 15, mwenye nyumba anataka 35 urgently, wacha tamaa, ama niweke hapa namba zake hadharani???
DMNipe ramani mkuu nikajenge na uisimamie mjengo
Yaan chumba kimoja alafu kodi laki 3,Hamna kodi ya laki 3 hapo, watu sio wajinga!
Yumba mlimani kama kidungu cha kufukuzia kwelea kweleaYaan chumba kimoja alafu kodi laki 3,
Akili hazipo hapo