hiyo nyumba hukuweza kupata picha zake,najua wanunuzi watakuwa tempted kukupigia kutokana na kushawishika japo na picha!!!
Nyumba ya vyumba vinne,choo na bafu,sebule ya kupumzikia,sebule ya chakula pamoja na jiko.
Pia kuna eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba nyingine.
Nyumba ipo Kimara mwisho - ghorofani,njia inayoenda bonyokwa.
Bei ni mil 40.Kwa maelezo zaidi piga 0755198216 na 0755310028.[/QUOpicha hizo