Nyumba inauzwa kigamboni

Nyumba inauzwa kigamboni

hmhl

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
22
Reaction score
22
Nyumba inauzwa ipo Kigamboni, Kibugumo, ni mwendo wa dk 5 hivi kutoka barabara kubwa ya lami, bei ni 13 Milioni.
Aliye interested aje PM nitampa namba yangu
IMG-20181106-WA0013.jpg
IMG-20181106-WA0010.jpg
IMG-20181106-WA0014.jpg
IMG-20181106-WA0009.jpg
 
Sema pagale.... Ukubwa wa eneo lake ukoje, vibali vip?
Eneo halipo square ila vipimo vyake ni kama vifuatavyo:
kisini mita 10.9
magharibi mita 21.5
kaskazini 11.6
mashariki mita 17.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom