nyumba inauzwa kigamboni dsm

nyumba inauzwa kigamboni dsm

ChiefSkin

Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
83
Reaction score
25
nyumba ipo kigamboni Toangoma dsm mita 150 kutoka barabara ya lami.
bei ni milioni 35 ila maelewano yapo

ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kina masterroom
ina sebule
ina jiko
ina dinning room

nyumba imekamilika inahitaji maboresho madogo tu.

kwa mawasiliano zaidi piga 0654229460 au whatsapp 0755040485, Tutakutumia picha ya nyumba ukihitaji.

CAM00305.jpg
 
Ukubwa wa Kiwanja Tafadhali,Picha ya mbele zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom