M mila Member Joined Feb 15, 2011 Posts 9 Reaction score 0 Feb 21, 2011 #1 nyumba ya vyumba sita,na flame ya biashara inauzwa keko mwanga,ina umeme na maji,karibu na kanisa la kekomwanga.bei maelewano.piga namba 0659 631651
nyumba ya vyumba sita,na flame ya biashara inauzwa keko mwanga,ina umeme na maji,karibu na kanisa la kekomwanga.bei maelewano.piga namba 0659 631651
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,046 Feb 21, 2011 #2 Tuonyeshe kwanza picha ya nyumba!!
M maselef JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 254 Reaction score 46 Mar 2, 2011 #3 Jamani hakuna bei inaitwa maelewano. Jaribini hata kutoa indicative cost. jamini pesa zetu ni za kungaunga
Jamani hakuna bei inaitwa maelewano. Jaribini hata kutoa indicative cost. jamini pesa zetu ni za kungaunga