Nyumba inauzwa Kawe Dar es salaam

Nyumba inauzwa Kawe Dar es salaam

zilakina

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
293
Reaction score
77
Ni nyumba nzuri ya kisasa ina vyumba 3 kimoja master, dinning, sebule na jiko. Pia kwa nje kuna choo na jiko kubwa la kisasa. Nyumba ipo ndani ya fensi ina umeme na maji ya Dawasco na simtank ya kuwekea maji. Parking ya gari moja. Bei ni 120M.

Kwa mawasiliano zaidi nitafute kwa no 0756224239
 
Weka basi picha tuione hiyo nyumba. Je kiko kwenye kiwanja kilichopimwa?. je inafikika kwa gari?.
 
Weka basi picha tuione hiyo nyumba. Je kiko kwenye kiwanja kilichopimwa?. je inafikika kwa gari?.
Kiwanja hakijapimwa ila kina hati ya leseni ya makazi,gari linaingia mpaka ndani ya fensi.Nashindwa kuweka picha ila nyumba ni nzuri na kwasasa anaishi mpangaji analipa kodi sh 400000 kwa mwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom