Nyumba inauzwa ipo Tabata

Nyumba inauzwa ipo tabata baracuda
~Ina vyumba vitatu kimoja ni master
~Sebule
~Store
~Jiko
Bei mil 75

Nb; Nyumba ni mpya
Wee ni dalali unataka uza nyumba ya mtu?? Mbona picha za wizi hizi?? Picha za ndani vipi??
 
Wee ni dalali unataka uza nyumba ya mtu?? Mbona picha za wizi hizi?? Picha za ndani vipi??
Mkuu tujaribu kuheshimiana japo kidogo naamini sijakukera kwa lolote, nyumba ni ya ndugu yangu nilituma picha za nje alafu nilisafiri baada ya kurudi nimetuma picha za ndani nyingi tu na bado kuna watu walinipigia simu walikuja kuiona nyumba wakashindwana bei
Sasa kuniita dalali au kunambia picha za wizi nashindwa kukuelewa
 
Sababu za kuiuza???
Mwanzo mlitaka picha za ndani nimetuma, mwenyewe kaamua kuuza nyumba yake na ndio biashara zake anajenga na kuuza
Ukitaka njoo uione nyumba na uongee na mwenyewe
Kama una nia lakini kama hauna nia kaa kimya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…