Nyumba inauzwa ipo Mbagala Kijichi

Nyumba inauzwa ipo Mbagala Kijichi

Anill

Senior Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
183
Reaction score
376
Ina vyumba vitano ndani na vitatu nje. Ina eneo kubwa sana kwa nje gari inafika hadi mlangoni.

bei mil 45 maongezi yapo

0678096545


IMG-20190805-WA0006.jpeg
IMG-20190805-WA0007.jpeg
IMG-20190805-WA0005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elezea undani wa nyumba yenyewe na mazingira yaliyoizunguka! Si unajua nyumba ikiwa uswahilini inanunuliwa kwa bei ya uswahilini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom