Nyumba inauzwa ipo Dodoma

Nyumba inauzwa ipo Dodoma

Igunga Moja

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
182
Reaction score
23
Nyumba ipo dodoma mjini eneo la chamwino a. Karibu na shule ya msingi chamwino, mtaa wa nduka, ina ukubwa wa vyumba vitano, sebule,jiko,bafu mbele ya nyumba pia kuna kiwanja kinabaki unaweza ukajenga frem,.bei milion 90!maongezi pia yapo.

Mawasiliano 0716 160639
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom