Nyumba inauzwa ipo Dar es Salaam

Nyumba inauzwa ipo Dar es Salaam

Alex Katto

Senior Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
155
Reaction score
20
Kama kichwa kinavyosema NYUMBA IPO HAPA DAR SEHEMU INAITWA YOMBO KIEMBE SAMAKI, ina vyumba vinne na uwanja wa kujenga tena vyumba hata vitatu, bei milioni 16, nyumba ni ya kwangu na nimeamua kuuza niamie kwingine ambako kuna shughuli zangu za biashara.

If interested tuwasiliane namba hii 0763-812-605
 
Hata jamani picture hizi hapa
 

Attachments

  • 1435046800725.jpg
    1435046800725.jpg
    93.8 KB · Views: 330
  • 1435046815209.jpg
    1435046815209.jpg
    49.1 KB · Views: 311
  • 1435046832384.jpg
    1435046832384.jpg
    71 KB · Views: 308
Picha ya uwanja hiyo, kama nilivyosema wakuu, uwanja unatosha kujenga vyumba vingine vinne
 

Attachments

  • 1435118913276.jpg
    1435118913276.jpg
    50.7 KB · Views: 140
Ila kama mtu yupo serious anataka nyumba, tuwasiliane aione physically
 
Piga picha kwa mbali ili kuipata view ya nyunba vizuri
 
Piga picha kwa mbali ili kuipata view ya nyunba vizuri
hizo picha mbona zinatosha kuonesha kwamba hakuna nyumba kinachouzwa ni kiwanja! maswali ya msingi mnunuzi kuuliza ni: kiwanja kimepimwa? kina ukubwa gani? kina hati? panafikika kwa gari? umbali kutoka barabara ya lami? umeme tumeuona, maji je?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom