Ngoja nipate kwa wengine kama wanazionabado mkuu kwani unafanyaje labda kuna sehemu unakosea picha zipo wapi kwenye pc au labda ni mimi peke yangu ila tunaomba wengine mnaoangalia mtwambie kama mnaona picha m_kishuri nakuona hapo chini je wewe unaona picha?
Ngoja nipate kwa wengine kama wanaziona
Hapa naona sasa picha zinaonekana au bado?
mkuu am sorry kusema bado nadhani labda option nyingine ziupload hapa welcome to flickr - photo sharing alafu huku utoe link watu waweze kuangalia wenyewe au mtumie mod link akwambie ni nini umekosea au ivuga cause yeye huwa anaupload sana pics probably atakusaidia