Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,104
- 335
Ina vyumba vitatu vya kulala, sebule na jiko. Haijakamilika kama ambavyo inavyoonekana katika picha. Imejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa urefe 30 na upana 22. Maandalizi yamekwisha kamilika kupatikana leseni ya makaazi. Nyumba inauzwa tshs 55mil.
NB: Kama wewe si mnunuzi lakini unaweza kumleta mnunuzi wa kuinunua hii nyumba utapatiwa kamishina nono…njoo whatsapp tukubaliane. 0784225000