Nyumba inauzwa chidachi east-dodoma kwa mawasiliano 0769054296
Well said!!Acha kukimbilia kutoa namba ya simu, mwaga kwanza details hapa watu wakielewa watakupigia.
Inauzwa shs ngapi? Kiwanja kimepimwa? haina mgogo wa kifamilia (ya urithi)?, fafanua chidachi east iko karibu na nini pia weka picha tuone standard ya nyumba.
natoa m5 mkuu, kama inalipa ni PMInauzwa shs million 20, Kiwanja kimepimwa na kina hati , haina mgogoro wowote wa kifamilia au urithi (ya kwangu mwenyewe), iko chidachi east karibu na kibao shule ya Sekondari Mkonze Iringa Road, ina vyumba vitatu - kimoja master, sitting room,dinning room, kitchen na stoo. bado kupaua.
Inauzwa shs million 20, Kiwanja kimepimwa na kina hati , haina mgogoro wowote wa kifamilia au urithi (ya kwangu mwenyewe), iko chidachi east karibu na kibao shule ya Sekondari Mkonze Iringa Road, ina vyumba vitatu - kimoja master, sitting room,dinning room, kitchen na stoo. bado kupaua.
Hii nyumba bado ipo sokoni?Nyumba inauzwa chidachi east-dodoma kwa mawasiliano 0769054296